AJALI YA BASI TENA LA OSAKA

Sunday, March 15, 2015

 
Basi la Osaka Raha limepata ajali ambalo lilikuwa linatoka mwanza kuelekea Dar,Chanzo cha ajali hiyo ni gari kubwa aina ya semitrela lilikuwa limekata tela lake katikati ya bara bara kuu inayoelekea Dodoma Inn, Na basi hilo inasemekana lilikuwa spidi sana na bila kujua kuwa katikati kulikuwa na t ela hilo na katika jitahada za kujaribu kulikwepa liliingia kwenye mtaro na kugonga mti ambao..Inasemekana hakuna aliyepoteza maisha ila majeuhi ni wengi na wamekimbizwa katika hospitali

No comments:

Post a Comment