PICHA ZA UCHI TENA MTANDAONI TAZAMA HAPA

Monday, March 16, 2015

 
Mwanamuziki Kamikaze amezidi kupigilia msumari beef aliyonalo na Bob Junior kwa kumchukulia Demu..Demu huyo mwigizaji wa Bongo Movies anayejulikana kwa Jina la Sabby amenaswa sehemu mbali mbali akijivinjari na Mwanamuziki Kamikaze huku Bob Junior akiachwa kwenye mataa.. Picha na Video wakiwa faragha zimevuja mtandaoni zikionesha mahaba makubwa kati yao

No comments:

Post a Comment