wahenga walisema ajali haina kinga........
Blac Chyna ni rafiki yake kipenzi kim
kardashian na pia ni mama mtoto wa rapper Tyga. Mdada huyo ambaye
zamani alikuwa ni stripper, amekuwa ni gumzo kwa muda mrefu kutokana na
makalio yake ambayo watu wengi wanasema ni ya bandia yaani fake.
Lakini mrembo humbo ambaye kwa sasa ni model, alikanusha uvumi huo na kusema makalio yake ni zawadi kutoka kwa Mungu.
Yaliyojiri hivi karibuni, ni kwamba
makalio hayo yalianza kuporomoka taratibu wakati anatembea na alipigwa
picha akijaribu kuyafunika na sweta.
Inasemekana dada huyo alioneka akikimbilia kwa dotka kwa ajili ya marekebisho ya fasta.....majanga!!
Watu wanasema makalio ya Kim yanaweza kuwa bandia pia―Samaki mmoja akioza, wote wameoza heheh
Source:mapenzi
No comments:
Post a Comment