Msanii wa muziki Kanye West ameweka msururu wa picha za utupu wa mkewe Kim Kardashian West katika mtandao wake wa Twitter.
Nyota
huyo wa muziki wa rap aliwagawia picha hizo takriban watu millioni
11.7,wanaomfuata katika mtandao wa twitter pamoja na ulimwengu mzima.Picha hizo zinamuonyesha mkewe Kim kardhashian akijiziba uchi wake na mikono.
Katika ujumbe wake msanii huyo aliyeimbia wimbo kwa jina ''Yeezus'' alijigamba kuhusu hatua zilizopigwa na mkewe katika Runinga ya Reality TV na kusema ana bahati kuwa naye.
source:bbc
No comments:
Post a Comment