MAJAMBAZI YAVAMIA KIZUIZI CHA POLISI ENEO LA KONGOWE MBAGALA DAR ES SALAAM NA KUUA ASKARI WAWILI MUDA HUU NA KUPORA BUNDUKI SMG MBILI NA KISHA KUVAMIA SHELI YA MAFUTA YA LIKE OIL KISHA KUTOKOMEA KATIKA MSITU WA VIKINDU MKURANGA
KIPIMA JOTO ITAENDELEA KUWAPA HABARI ZAIDI JUU YA TUKIO HILI
No comments:
Post a Comment