Mwanzilishi wa Kundi la Tip Top Connection Abdul Bonge Afariki Dunia
Sunday, March 29, 2015
Aliyewahi kuwa Meneja wa wasanii na mwanzilishi wa kundi la Tip Top Connection, Abdu Bonge amefariki dunia ghafla usiku wa kuamkia leo March 29 akiwa nyumbani kwake.
No comments:
Post a Comment