BASI LA DAR EXPRESS LAPATA AJALI MBAYA

Friday, April 17, 2015

 
ZAIDI ya abiria 60 wamenusurika kifo, baada ya basi la Dar Express lililokuwa linatoka Dar kwenda Nairobi kupasuka tairi la mbele kushoto kisha kupinduka katika eneo la Msata karibu na daraja la Wami mkoani Pwani leo
Source:mwanahabarihuru.com

No comments:

Post a Comment