Bora Mwanaume wa Kibongo Kuliko Mwanaume Mkenya Kwenye Mapenzi

Thursday, May 14, 2015

Mpenzi wangu huyu Mkenya na mie ni Mbondei wa muheza, dear wangu huyu tumepishana km mwenzi mmoja hiv umepita, na tatizo lenyeweanataka kupeleka posa nyumbani na mimi nimemkatalia kutokana na matatizo yafuatayo:-1. TUkiwa chumbani yeye ni amri amri tu hadi kuna kucha2. Kuanzia sebuleni kwake, chumbanihadi bafuni katundika bendera ya Kenya3. Anapenda sana kuniona nimekasirika4. Ukimwomba ushauri juu ya jambo fulani atakwambia fanya unaloona linafaa5. Hana muda wa kukaa tushauriane mambo ya maisha na kupiga story zahapa na pale yymkikutana ni kucheza segere mwanzo mwisho6. Ukiwa na matatizo c mtu wa kuonesha ushirikiano au kuguswa na tatizo ulilo nalo8. Ni mbinafsi anapenda kufanyiwa yeye tu vitu vizuriBandugu ni kweli niolewe na mtu wa aina hii wakati kwenye uchumba tu kuna kero km hizo! Binafsi naonelea bora niolewe na mbongo kuliko huyu Mkenya nyie mwanishaurije

No comments:

Post a Comment