Muswada wa mahakama ya kadhi umeondolewa rasmi hivyo hautojadiliwa
bungeni. Katibu wa bunge Thomas Kashilila amesema kuwa muswaada huo
hautakuwepo kwenye ratiba za bunge badala yake nafasi hiyo itachukuliwa
na miswaada mingine kujadiliwa.
Source: Gazeti la Uhuru na Nipashe la leo Aprili01 wameandika hivyo.
No comments:
Post a Comment